Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1584883918642.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbali na mchezo huo jambo lengine kubwa lililojiri ni kuwa, baadhi ya mastaa wameamua kutoa mchango wao wa hali na mali ili kupigana na janga hili.Hawa hapa ni baadhi ya mastaa walioamua kuchangia fedha na hotel kwa taasisi za Afya ili kusaidia kupambana na janga hili.
 
Wilfried ZahaStraika huyu wa klabu ya Crystal Palace ni mmoja ya mastaa waliochangia makazi na malazi kwa wafanya kazi wa Mamlaka ya Huduma Za Afya (NHS) , katika juhudi za kuunga mkono vita dhidi ya virusi vya Corona.Hili lilibainika baada ya mmiliki msaidizi wa kampuni ambayo Zaha anaimiliki kuandika kwenye ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Twitter yeye na Zaha wametoa makazi na malazi kwa madaktari na wauguzi ili kuunga mkono juhudi za kupambana na Corona.Zaha kupitia kampuni yake ametoa zaidi ya vyumba 50 kwenye Hotel yake iliyopo London, England na kuna vitanda kati ya kimoja hadi vitatu kila chumba, bila ya malipo ya aina yoyote.
 
2.Marcus Rashford Staa wa klabu ya Manchester United Marcus Rashford ameripotiwa kujidhatiti kuwalisha watoto walioathirika na ufungwaji wa shule kutokana na hofu ya maambukizi ya virusi vya Corona.Rashford amechukua uamuzi huo baada ya Waziri Mkuu wa nchi hiyo, Boris Johnson kutangaza kufungwa kwa shule zipatazo 32,000 nchini England, hadi pale joto la maambukizi ya Covid19 litakapo pungua.Ingawa mpaka sasa haija tambulika kuwa ni kiasi gani ambacho atatoa, lakini inakisiwa kuwa huenda atatoa asilimia kadhaa ya kiasi ambacho alikipata miezi 12 iliyopita katika kampeni yake iliyochangiwa na wafuasi wake wapatao 2.4 milion kwenye ukurasa wake wa Twitter.
 
3.Gary Neville Huyu ni mchezajiwa zamani wa timu ya Manchester United ambaye kwa sasa ni mchambuzi wa masuala ya soka kwenye kituo cha Sky Sports.Pia naye ni moja ya mastaa walioonesha kuguswa na ugonjwa huu na kuamua kuchangia kwa hali ana mali, kuhakikisha kuwa janga hili linatoweka katika uso wa dunia.Gary Neville ameleeza kuwa anatoa Hotel zake mbili kwa Mamlaka Ya Huduma Za Afya(NHS), katika kuunga mkono juhudi za kupambana na virusi hivyo.
 
Back
Top Bottom