The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,990
- 45,415
Ahahahah, ukishalewa urojo wako unasumbuaMungu akuepushe na msiba huo...... mtoto mdogo kama wewe unataka kufa kifala.
davetiiiiiiii achana na huyo ahjumma the happiness
Nimekuta huko mtandaon ikabidi nilete mtamani na nyieDah upate na kachumbali ππView attachment 1397000
Tumetamani kweliNimekuta huko mtandaon ikabidi nilete mtamani na nyie
hipitwiiπ¬....nilkuwa najaribu expirement ya mkokaaWewe mtoto nimekupata sana πππ
huyo jamaa sehemu pekee ambayo unaweza ukamkuta ameandika comment ya kistaarabu ni kwenye uzi wa catalunya na man city.Happy Birthday to you home boy kurlzawa
Nadhani utachoma ivo uleTumetamani kweli
ππHappy Birthday to you home boy kurlzawa
ππ numbisa ndio mtaalamhipitwiiπ¬....nilkuwa najaribu expirement ya mkokaa
Nilipitwa sema mkorea ndio kakuanika πhipitwiiπ¬....nilkuwa najaribu expirement ya mkokaa
Mbona umefurahi bro?ππ
Hajawahi kuniangusha huyoππ numbisa ndio mtaalam
Leo mkorea yupo ON.....inlaw ni muhenga wa Jf lazma ajueπββοΈπNilipitwa sema mkorea ndio kakuanika π
Hayo maujuzi kayatoa Aunt yako hapa juzi naona mkoka somo kalielewa zaidi
Nimemtag tu kubahatisha sijui kama hana ban π.....huyo jamaa sehemu pekee ambayo unaweza ukamkuta ameandika comment ya kistaarabu ni kwenye uzi wa catalunya na man city.
Kwa ubishi umeshindikana.nyama ya kuchoma kwa kachumbari kwani wewe ni zombie.
- kwetu matumizi ya kachumbari ni kwa ajili ya pilau
- nyama ya kuchoma upate japo rosti la pili pili
mara ya mwisho kuja zenji ilikuwa lini?
mbona umekuwa mshamba sana siku hizi?
urojo na mbatataLeo mkorea yupo ON.....inlaw ni muhenga wa Jf lazma ajueπββοΈπ
Ipi hiyo? ππngoja comment yangu niifute kabla hawachi hajapata jibu
comment yangu umeipata wapi haliyakuwa nimeifuta....Kwa ubishi umeshindikana.
Niko wete mpendwa
Siku hizi nimeakuwa mpole mpendwacomment yangu umeipata wapi haliyakuwa nimeifuta....
niliogopa utarudi na hasira kama za simbaaa
Mboga iko wapi hapo.?ππurojo na mbatata
View attachment 1397020