Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
LICHA ya kukiri kuwa anamkubali beki wa kati wa Liverpool, Virgil van Dijk, lakini, Rio Ferdinand amedai linapokuja suala la ubora staa huyu hamfikii pacha wake wa zamani pale, Manchester United, Nemanja Vidic.