Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Alaves ilitangaza kuwa watu 15 kwenye timu yao walikuwa wameathiriwa na virusi hivyo, watatu kati yao wachezaji, 12 wafanyakazi.
Comment ya mla urojo kuhusu huyo jamaaMbona umefurahi bro?
Ukiwa na application ya uc browser,unacopy sehemu vipande hata 20 kisha unakuja kuvipaste hapa kidogo kidogoNumbisa. naomba kukuliza waga unatumia ujanja gani kupost izo habari mfululizo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio
Kwema mkuu, harakati ??
teh teh