Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Habari Kamili.

mfilisti katelekeza mke...
Kaka mtu SHIMBA YA BUYENZE ndio kakabidhiwa mpaka hapo mfilisti atakapo rudi.

#hainagaushemeji#
Asante sana shemeji. mfilisti hata akwame huko Tanga kwa jimama lake miaka na miaka yu wili neva woki aloni ezi longi ezi niko hai. Akija kurudi atakuta katoto kake kamekua.

#Vyakuibavitamu
#EndeleaKunipa
16dbc4b1-a8e3-4f7c-b8fe-ae9ff6127a44.gif
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hiyo namba 2 nimejionea kwa macho yangu.[emoji23][emoji23][emoji23]
Wanasema ukila wali lazima ushushie na ugali, ati wakila wali hawashibi[emoji23][emoji23]
Mwanaume mzima utakulaje appetizer peke yake bila main course? Yaani nile wali ndiyo nilale? Thubutuuu!!!
 
Back
Top Bottom