Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Hata sijui wapi nilikua,
Unaendeleaje lakini?Hata sijui wapi nilikaua,
Am just happy to be here again!!
Hizo salam huchelewi kuomba picha
Tunakulaga [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
mfilisti yupo wapiSijui kwanini nimeku kwoti
We kwenda huko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hizo salam huchelewi kuomba picha
2. Mfilisti katekwa na jimama la kitanga,ayyana hoi hana pakuanzia kumnasua
Hahah! wewe ndio mgeniWe kwenda huko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Namjulia mgeni hali
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahaah aiseeeHabari Kamili.
mfilisti katelekeza mke...
Kaka mtu SHIMBA YA BUYENZE ndio kakabidhiwa mpaka hapo mfilisti atakapo rudi.
#hainagaushemeji#
Si alikuwa amepotea kwa muda.Hahah! wewe ndio mgeni
Habari Kamili.
mfilisti katelekeza mke...
Kaka mtu SHIMBA YA BUYENZE ndio kakabidhiwa mpaka hapo mfilisti atakapo rudi.
#hainagaushemeji#
Karbu bro!!Hata sijui wapi nilikua,
Am just happy being here again!!
uliyataka mwanamkee wewe na wala sikupi pole kwa yaliokukuta.Habari Kamili.
mfilisti katelekeza mke...
Kaka mtu SHIMBA YA BUYENZE ndio kakabidhiwa mpaka hapo mfilisti atakapo rudi.
#hainagaushemeji#