Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Huondoa msongo wa mawazo
Chanzo kimojawapo cha msongo wa mawazo ni uchovu, na chanzo kimojawapo cha maradhi mbalimbali ni msongo wa mawazo.Hivyo ni muhimu kuhakikisha tunapumzika ili akili na fikra zetu zijisafi na kutuepusha na tatizo la msongo wa mawazo.