Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kubadili maisha yako ni maamuzi yako wewe mwenyewe. Ukitaka uwe na maisha duni toka mwanzo hadi mwisho wa maisha yako ni maamuzi yako mwenyewe. Nakushauri kufanyia kazi hoja nilizozifafanua katika makala hii juu ya tabia 10 zitakazobadili masiha yako; nami nakuhakikishia utaona mabadiliko.
 
Hukutenga na mipango mibaya

Siyo kila mpango unafaa kwenye maisha yako. Mipango mingine inaweza kuangamiza ndoto na malengo yako.

Kwa mfano mtu akakushawishi uingie kwenye biashara ya dawa za kulevya, je unafikiri utaweza kweli kupata manufaa ya uhakika? Unaweza kukamatwa na maisha yako yakaishia gerezani.

Huu ni mfano wa mipango mibaya ambayo watu wanapaswa kutokusita kusema hapa; kumbuka hakuna mkato kwenye mafanikio.
 
Hukufanya kuonekana mtu mwenye msimamo

Tutatambua vipi msimamo wako ikiwa wewe unakubali kila kitu? Ni muhimu kusema hapana ili watu watambue kuwa una masimamo fulani ambao hauwezi kuuacha.

Ikiwa kuna jambo au kitu ambacho hukipendi, basi tumia buasara kusema hapa ili watu waheshimu msimamo wako.

Kwa mfano ikiwa wewe hutumii pombe au sigara, basi sema wazi hapa kwa vitu hivi hata kama hutamfurahisha unayempa jibu hilo.
 
Hufanya mawazo yako yaheshimike

Watu wataheshimu mawazo yako kama unayabainisha na kuyatetea wazi. Kusema hapana ni njia ya kuonyesha aina ya mawazo uliyonayo.

Tumia hekima na busara kupinga mawazo yale ambayo wewe huyataki; moja kwa moja wale unaowaeleza wataweza kutambua wazi mawazo yako na kuyaheshimu.
 
Hukuokolea fedha na muda

“Kama kweli unataka kuwa mtumiaji mzuri wa muda, unatakiwa kujifunza kusema hapana kwa watu wengine na kufanya hivyo mara kwa mara.”
Sunday Adelaja
Unaposema hapana utaepuka mambo na tabia mbalimbali ambazo zinaweza kukupotezea muda na pesa nyingi.

Ni muhimu kusema hapana kwa maswala kama vile pombe, uzinzi, matumizi mabaya mitandao ya kijamii, uzururaji, n.k.
 
Hukuwezesha kufikia ndoto na maono yako

Ili tuweze kufikia ndoto zetu tunahitaji kuepuka mambo mbalimbali yasiyoendana na ndoto au maono yetu.

Ka njia ya kusema hapana unaweza kuondoa mambo yote ambayo kwa namna moja au nyingine hayakuwezeshi kutimiza ndoto au maono yako.

Inaweza kuwa ni mtu, kazi, tabia n.k. ambavyo haviendani na ndoto zako; hivo ni muhimu kusema hapana.
 
Naamini umeona jinsi jibu dogo la “Hapana” lilivyo na nguvu kubwa katika maisha yako.

Ni muhimu kufahamu kuwa mtu mwenye malengo ni lazima aweze kusema hapana kwa vitu, watu, tabia au kazi ambazo hazimuwezeshi kutimiza malengo yake. Je wewe huwa unasema hapana?
 
Muhtasar kwa coco

1. Bradha bado singleeeee

2. Mfilisti katekwa na jimama la kitanga,ayyana hoi hana pakuanzia kumnasua

3. KD kama kawa kama dawa kila siku anaibuka na mpya,keshaanzisha chama cha kupeana baraka full kuteka nyoyo za wadada,bae za watu

4. Stella keshasahau kelele za liver saiv ana kelele za kutaka picha na kutupa tour za mashambani huko

5. Tuna mgeni mrembo matata karma a.k.a Zoë

6. Kgothalo yupo fit kabisa ungechelewa kidogo tu angeanza kulalamikia mtekaji

7. Yapo mengi daaah
 
Back
Top Bottom