Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Pambana na hali yako TH [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Jimbo gumu sana hili sijapata kuona [emoji23] [emoji23]
Bado mkuu
Kwamba jiwe limejilalia?😀😀 jiwe juu ya jiwe
Kapotea sana mpaka tunashikwa na wasiwasi kuwa pengine alishabensaananiwa [emoji848][emoji848]
😀😀Kwamba jiwe limejilalia?
Yaani dah huyu ndugu kapotea sanaKapotea sana mpaka tunashikwa na wasiwasi kuwa pengine alishabensaananiwa [emoji848][emoji848]
😀😀😀😀Pambana na hali yako TH [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Mpaka mpendwa amesalimu amri unafikiri mchezo?
Hivi Xbox huwa unagusa?
Nmemkumbuka Khalilou Fadiga na lile tukio la kukwapua cheni kwenye duka la urembo, jamaa akawa maarufu ghafrahenry camara
salif diao
elhadji diouf
diop
khalilou fadiga
Mpendwa [emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Basi mimi haijanibariki kabisa mkatalunya labda uguse Fifa kidogo utulivu upo lakini hiyo PES ni mpera mpera kama defender. Au labda kwakua sina uzoefu nayoImetulia sana Mkatalunya nagusa nafikiria ni zaidi ya PS