Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Siipendi japo sijawai kucheza magame yakeHivi Xbox huwa unagusa?
Haha hawa watu bila kuwafunga kamba mambo hayaendi siyo?😀
Kule kwa wenzetu huyu jamaa ni anafanyiwa utaratibu wa kumpeleka Rehab. Kwetu sisi utasikia, jamaa anazigonga balaa. 😀
Basi mimi haijanibariki kabisa mkatalunya labda uguse Fifa kidogo utulivu upo lakini hiyo PES ni mpera mpera kama defender. Au labda kwakua sina uzoefu nayo
😂 😂 😂 Nipunguzie adhabu bwanaa...😂😂😂😂 aisee nilikuwa sitaki kucheka leo umeniharibia ratiba yangu sasa.....
#Komaausikatetamaa
😂 😂 😂 sijapenda bhanaa, utanipaje mtihani kama ule weweKuna muda ubebadilisha hizo reactions nikaishia kutabasabu tu, mara naona hahah, mara kidogo imekua sad. Chizi wewe 😀
Hahah! Sasa kwanini hupendi au hupendi muundo wa Pad zake?Siipendi japo sijawai kucheza magame yake
Haina noma MkatalunyaSiyo Mchezo Mkatalunya FIFA ipo sawa inabidi nisogee hapo kwenye PES, ngoja tupate muda Mkatalunya
😀😀😀 kwani ni mimi jamani?😂 😂 😂 sijapenda bhanaa, utanipaje mtihani kama ule wewe
Siunasikiaga "kuna milima na mabonde" sasa ndio hayo😂 😂 😂 Nipunguzie adhabu bwanaa...
#aaahThubutuu
#Sitawezaaa
mfyuuuu zako 😂 😂 😂 😂 😂Siunasikiaga "kuna milima na mabonde" sasa ndio hayo
#utawezatu
😂😂😂 jamanimfyuuuu zako 😂 😂 😂 😂 😂