Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Ona mimi Mara ya mwisho kupata notificationsJamani nyie mwenzenu tangu jana sipati notifications kwenye app yangu wala siwezi kuview threads na posts zangu kupitia profile yangu, na nyie wenzangu mna tatizo kama hilo au ni mimi tu.
Mkinitag mkiona kimya mjue sijaona jamani.
Nafanya tu kupita kwenye comments,si rahisi kuona kila aliyeniquote/mention
Sent using Jamii Forums mobile app