Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Ona mimi Mara ya mwisho kupata notificationsJamani nyie mwenzenu tangu jana sipati notifications kwenye app yangu wala siwezi kuview threads na posts zangu kupitia profile yangu, na nyie wenzangu mna tatizo kama hilo au ni mimi tu.
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Kaa nami Ni usiku Tena
Usiniache gizani Bwana
Msaada wako haukomi
Nili peke yangu
Kaa nami
Siku zetu hasikawii kwisha
Sioni la kujifurahisha
Hakuna ambacho hakikomi
Usiye na mwisho
Kaa nani
Nina haja nawe kila saa
Sina mwingine wa kunifaa
Mimi nitaongozwa na Nani?
Ila Wewe Bwana
kaa nami
Siishi neno uwapo karibu
Nipatalo lote SI taabu
Kifo na kaburi haviumi
Nitashinda kwako
Kaa nami
Nilalapo nikuone Wewe
Gizani mwote nimulikiwe
Nuru za mbinguni hazikomi
Siku zangu zote
Kaa nani
[emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi hakuna cha notification wala nini, hata picha kwangu hazionekani. Naenda tu hivyo hivyo kama kipofu....Ona mimi Mara ya mwisho kupata notifications
Mkinitag mkiona kimya mjue sijaona jamani.
Nafanya tu kupita kwenye comments,si rahisi kuona kila aliyeniquote/mentionView attachment 1397499
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawaelewekagi [emoji16][emoji16][emoji16]Mabaharia wanalalamika huko, wanakuja PM wanawapa "Hi" mnachuna! Mnatutisha na sisi tuliokuwa tunakula Calculus za kuzama huko! [emoji3] [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
KwaresimaZa kawaida
#kunasaanakumbukwaresma
Nimeona uzi flani huko mabaharia wanalalamika vibaya. 😀😀Hawaelewekagi [emoji16][emoji16][emoji16]
Mabaharia nao unafikiri wanaeleweka basi? Wote ni majiganyanza. Bora tu kuwa mgumu Poti [emoji16][emoji16][emoji16]Nimeona uzi flani huko mabaharia wanalalamika vibaya. [emoji3][emoji3]
Nao yua toking'i poti. 😁😁Mabaharia nao unafikiri wanaeleweka basi? Wote ni majiganyanza. Bora tu kuwa mgumu Poti [emoji16][emoji16][emoji16]