Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Dah! Nmechoma sindano last week ila hadi Leo inauma. Ilikuwa ni ya declofenacKila mtu ana mkono wake,kwa mfano kuna msusi akikusuka mashallah unatoka kama vile kakubana nywele tu ila mwingine utadhani umechomekewa miba
Pole jaribu kujikanda kanda pasijegeuka jipuDah! Nmechoma sindano last week ila hadi Leo inauma. Ilikuwa ni ya declofenac
Nitafanya hivyo. Yan watu wafupi huwa wana matatizo ya kila namna πPole jaribu kujikanda kanda pasijegeuka jipu
Salamu sana kwako!!Moja ya nne ya ubongo hutumika kudhibiti uimara wa macho. Kwamba tunaona kwa ubongo wetu, macho huwa kama kamera tu.
Hey You .πNitafanya hivyo. Yan watu wafupi huwa wana matatizo ya kila namna π
πππ leo sitaki75% ya watu wanaosoma hii, Watajaribu kulamba kiwiko cha mkono kwa Ulimi.
Niaje Bro,Asante sana bro π
Kumbe uliinua?....... Poleni sana kwakukosa uhuru, naimani Mungu atalipitisha na hili litabaki kumbukumbu
Me nilijikuta tu nishajaribu πππππ leo sitaki
Takoni
Kuna mambo siku hizi yanatokea Duniani ata Mungu mwenyewe anashangaaKwani siyo yeye aliyoileta?