Ni gud pande hiziKwema bro, pande hizo niaje bro?
kwani tatizo liko wapi?
Nikiona hii siachi kucheka. Hivi wakenya wanamuonaje rais wao lakini?
Huo mtumbo wake umenikata stem ya keki 😀Cake anyone?
View attachment 1398232
Unazifahamu zile nyeupe za ps 2 ambazo hazina analog stick?Mbona zipo sema mara nyingi ndio huwa zinakuwa hazidumu kabisa
Korona imeshaisha kwani?Hivi ni kweli wanafunzi wameambiwa warudi shule kesho?
hunijui sikujui muhuni weweee......Wewe bishoo hautakiwi
Unakula mtumbo au keki?Huo mtumbo wake umenikata stem ya keki [emoji3]
Hatari sana hii
Rais kasema isitutishe ' tusitishane ila tahadhari tuchukueKorona imeshaisha kwani?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Chocolate Cake anyone?
View attachment 1398232
Watu tunaopenda kula tuna tabu sanaChocolate Cake anyone?
View attachment 1398232
Halafu ukute mwenyewe kimbaumbau [emoji16][emoji16]
Huyu wamalizane na Msodoki kwanza[emoji23][emoji23]