Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
😀😀Acha hizo za kuzua Nige. Weka vitu hivyo tuone Hanta naye anakuja.Maisha ndio hayahaya 😁
Kwema bro[emoji2][emoji2][emoji2] nimeona nimuulize leo
Uandishi huu hata la saba amefika kweli?Wolper Stylish is on the market ...Na sifa wala siyo ngumu kivile [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1398194
Kikubwa uhai.Asante kwa sala yako bro. Na kwako ikawe vivyo hivyo; na zaidi.
Mimi niko salama kabisa bro pamoja na wote hapa kwangu. Tumo ndani tu kwa ajili ya Korona ila hali siyo mbaya. Maisha yanasonga bro [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Kuna mtu umemmisi ww Nige si bure[emoji2][emoji2][emoji2] nimeona nimuulize leo
Wolper Stylish is on the market ...Na sifa wala siyo ngumu kivile [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1398194
Unaona sasa, ni wewe kabsa..nmeshajiongeza kikubwa[emoji2][emoji2]View attachment 1398224Acha hizo za kuzua Nige. Weka vitu hivyo tuone Hanta naye anakuja.Maisha ndio hayahaya [emoji16]
Madude yakianza kuchakas ukayaapiga spray yananoga tenaKuna moja huku nliona msela kaipiga spray za rangi tofauti
Kwema bro, pande hizo niaje bro?Kwema bro
Bro [emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547]Unaona sasa, ni wewe kabsa..nmeshajiongeza kikubwa[emoji2][emoji2]View attachment 1398224
Inawezekana vipiDuuh nimejikuta nimemuwazia tu kule chini sijui kulikuwaje mwanamke mwenzangu huyu