Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

d438a7d0-d60c-49fd-bb9e-0ccd0a91cf52.jpg
 
Huyu bado, hayupo siriazi

Bado anazingatia vigezo, kuna umri flan hawa wakifika utasikia wanasema kikubwa maelewano ndani ya nyumba..
Wakivuka 30 ila ngoma hasa hunoga wakivuka 35. Hajui kuwa sasa mabaharia wamehamia kwa age ya akina Sanchi ambao nao muda si muda watawapisha wengine. Ni dunia ya kuachiana hii....
 
Bro

Ni matumaini yangu u mzima wa afya, Mungu akufanyie wepesi kwenye kila lenye kheri wewe na wakuzungukao hapo.
Asante kwa sala yako bro. Na kwako ikawe vivyo hivyo; na zaidi.

Mimi niko salama kabisa bro pamoja na wote hapa kwangu. Tumo ndani tu kwa ajili ya Korona ila hali siyo mbaya. Maisha yanasonga bro [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Back
Top Bottom