Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
🤣🤣🤣"Vitu vyangu" kuna mtu kaviwekea "proprietary rights" ya kuviona ...Ha ha ha.. Fanya tuanze kuona vitu vyako kwanza
Sijambo Capitalpool za kuadimika mpendwaNilikumiss sana Mpendwa wangu wa milele Hawachi!!
Hujambo?
Nimelipenda zaidi hili la mpendwa
Bora sisi uadui wetu ni wivu tuu wa kijinga...
Ha ha ha Naddy mjanja mjanja sana wewe.. Kuna mtu mmefanana naye sana hadi uandishi.. Ni wewe?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]"Vitu vyangu" kuna mtu kaviwekea "proprietary rights" ya kuviona ...
Kuna baharia mmoja aliwahi kusema kuwa kama dunia ingekuwa inaongozwa na wanawake kusingekuwa na vita labda tu mataifa kununiana na kuchambana basi....Bora sisi uadui wetu ni wivu tuu wa kijinga...
Angalia uadui wa wanaume wanatuletea makorona, mahanta, mabomu ya nyuklia...
😀😀Ha ha ha Naddy mjanja mjanja sana wewe.. Kuna mtu mmefanana naye sana hadi uandishi.. Ni wewe?
😀 Asiwe bishoo tena?Wolper Stylish is on the market ...Na sifa wala siyo ngumu kivile [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1398194
Skendo gani bro?[emoji3] Asiwe bishoo tena?
Tatizo ile scandal yake ndio inakatisha tamaa