Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Uamuzi huo sio tu ulivuruga sherehe ya Wenger, bali uliuacha dunia na mshangao. Mwamuzi Clive Thomas katika kuonesha mshutuko wake, alilitaja tukio hilo kuwa ni la kukera na kushangaza.
Utafiti: Nguo anayovaa mtu huathiri matendo na namna anavyofikiri (Thinking) kwa asilimia kubwa.
Lakini, kilichotokea hata mwenyewe Wenger hakuamini kwani, alikutana kipigo cha mbwa mwizi cha mabao 6-0. Hata hivyo, lawama nyingi zilimuendea mwamuzi wa kati, Andre Marriner na wasaidizi wake kwa kushindwa kusimamia vyema sheria hivyo, kutibua kila kitu kwa Wenger.
Oscar sijui kapotelea wapiLakini, kituko kikawa kwa Marriner ambaye aliamua kumpa kadi nyekundu Gibbs badala ya Chamberlain. Gibbs hakupinga kadi hiyo huyu taratibu akatoka nje ya uwanja. Hazard alifunga penalti hiyo huku Oscar akimalizia kazi aliyoianza kipindi cha kwanza kwa kufunga bao lake la pili, na la tano kwa Chelsea.
Duh!Mbwa wa mitaani Jijini Moscow, Urusi wamekuwa wakionesha tabia sawa na Omba omba kwa binadamu. Kwao kiongozi sio mwenye nguvu, Bali ni akili katika Kuvutia namna ya Kuomba Chakula na ndiyo hufanikiwa zaidi wakati wa kuomba Chakula kwa Binadamu.