Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hii nilisikia, ukiwa mule ndani una uwezo wa kusikia hadi namna tumbo lako linavyomeng'enya chakula.
Anechoich chamber ni chumba maalumu kisicho na kelele hata kidogo. Ukiwa ndani ya chumba hicho unaweza kusikia sauti ya damu yako ikiwa inapita kwenye mishipa. Mapigo ya moyo wako yatakuwa na sauti ya juu sana kiasi cha kukuumiza masikio yako.Vyumba vya aina hii vipo sehemu mbalimbali duniani lakini kinachoshikilia rekodi ya kuwa na ukimya zaidi kinapatikana kwenye ofisi ya makao makuu ya Microsoft. Chanzo:CNN
 
Back
Top Bottom