Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Unatuangusha Mzee si umefanya sana training na first team na kocha alijitahidi kuweka viungo wote wanyumbulifu lengo utuwakilishe yanapotokea mazoezi kama hayo
Mzee,hii comment nimecheka kinoma hasa hapo kwenye unyumbulifu[emoji23][emoji23][emoji23]...kiwango changu bado hakijakuwa kujumuishwa kwenye kikosi bora kama hiki
 
hunijui sikujui muhuni weweee......
bishoo anapikiwa maziwa nyumbani kwao na beki 5.

naishi ghetto tokea nina miaka 7.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mitaani huku mabishoo wengi wametokea home tangia 5years
 
Wache waseme sina budi nawe ..
Sihofu lawama sababu ya wewe..
Ingekuwa nyoka koboko hadi uniume..
Seuze tausi wache walalame (wenye wivu dhidi yako wanaokesha kutafuta likes kama walinzi wa ikulu watapata tabu sanaa)

Ungekuwa nyoka sumu yako dawa.. gwenchanah mkorea hafi kwa sumu ya panya (hanta virus)
Damu husafika maradhi hupowa.. bila ya kunywa soju
Uzuri hakika wewe umepewa..... ndio maana harmonize pua ndefu kama buti la jeshi akakupenda
Siwezi kukwepuka iwe itovukuwa....... hata kama nitalala chini nipo tayari my love from another star

pendo letu lawasikitisha
wajinga wale linawakata mainii
nimependa kucha zako kama mwanamke wa ARUSHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…