Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Aigooo...gwenchana, gwenchanah. Ameshakusikia so stop crying
#multilingual

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee,hii comment nimecheka kinoma hasa hapo kwenye unyumbulifu[emoji23][emoji23][emoji23]...kiwango changu bado hakijakuwa kujumuishwa kwenye kikosi bora kama hiki

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Step up bro si unajua PAC alishaweka wazi Fear is strong than Love ingia tu huwezi kujua labda ndiyo break through hiyo

#MakeusProudheshimayaukoo#
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Tatzo majeruhi mzee, game moja, majeruhi miezi sita, ntaichomesha timu, timu yenyewe inataka kiungo mwenye kunyumbulika kwa kazi kazi.. Sio mchezo
 
Huyu manzi umemuelewa sana?
 
bahati inawachoma, choyo mwanionea = sabah salum muchacho

Punguzeni kunisemaa,
aliyenipa karima
Radhi kunishushia,
bahati inawachoma

Choyo munanionea
Kukosa au kupewa
ndio hali ya dunia
bahati kutunukiwa
khiyari yake jalia

​
BΓ hati ya mtu haichuliki mungu kashampangia

ujumbe huu uwafikie wapinzani uchwara wote wa mnywa urojoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…