Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Jikite hapa utaziona mada zote mkuu.
Uzi huu ni kokoro, umevuta mada zote zinazojadiliwa ndani ya jf.
Yaani nyuzi nyingi ndani ya uzi mmoja wa likes.
Hapa kuna maprofesa na sisi pangu pakavu tumekaa jukwaa moja tunacheka.
Nafasi kama hii huwezi kuipata popote ila kwenye uzi wa likes pekee
Hivi Humu nini kinazongumziwa haswa Naona upo juu tuu kila Siku ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…