Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Hizo taarifa nitazifikisha kwa ningendakoMwache amalize kuchukua maelelkezo ya dawa[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaunga mbele kwa mbele
Yoyote itakayokuvutia changia tu,au Kama unayo yako iweke tu mkuu.
Humu wote Ni washkaji,ukija unakuwa hivyo pia.
Hizo taarifa niazifikisha kwa ningendako
Kumbe?[emoji23][emoji23]
Hivi unajua leo hujanisalimia[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuna kina ngosha the Don,mzee wa tmkJikite hapa utaziona mada zote mkuu.
Uzi huu ni kokoro, umevuta mada zote zinazojadiliwa ndani ya jf.
Yaani nyuzi nyingi ndani ya uzi mmoja wa likes.
Hapa kuna maprofesa na sisi pangu pakavu tumekaa jukwaa moja tunacheka.
Nafasi kama hii huwezi kuipata popote ila kwenye uzi wa likes pekee
Jikite hapa utaziona mada zote mkuu.
Uzi huu ni kokoro, umevuta mada zote zinazojadiliwa ndani ya jf.
Yaani nyuzi nyingi ndani ya uzi mmoja wa likes.
Hapa kuna maprofesa na sisi pangu pakavu tumekaa jukwaa moja tunacheka.
Nafasi kama hii huwezi kuipata popote ila kwenye uzi wa likes pekee
Hahah!Tuna kina ngosha the Don,mzee wa tmk
Wapo kina mimi wachuma maparachichi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa Sawa mkuu,Unaunga mbele kwa mbele
Yoyote itakayokuvutia changia tu,au Kama unayo yako iweke tu mkuu.
Humu wote Ni washkaji,ukija unakuwa hivyo pia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sanaaa Faza [emoji2936] [emoji95][emoji2935]Unaunga tu mkuu kitu chochote ila isewe matusi na usisahau kutoa like
Tuna andaeitini wetu watatu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahah!
Wala hatujuani mkuu.Sawa Sawa mkuu,
Mmekaa Kama Mnajuana vile [emoji3][emoji3]Sanaaa Faza [emoji2936] [emoji95][emoji2935]