My Sons Legacy
JF-Expert Member
- Feb 4, 2019
- 3,604
- 11,898
Trump anasema US Hawawezi kujiweka karantini wataharibu uchumi wa dunia [emoji23]
Kumbe?
Nakupitaje Bila Salamu mtu muhimu Kama wewe jamani [emoji1751]
Aslam aleiykum ustaadh wangu
Jizazi. Poor souls [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Raia 64 na wa Ethiopia wamekutwa wamefariki ndani ya kontena huko Tete Msumbiji.
Wengine 14 wamekutwa hai.
Uchunguzi wa awali unaonyesha kuwa watu hao walikosa hewa ya oxygen ndani ya kontena hilo la kusafifishia mizigo.
Dereva la lori hilo amesema ameahididiwa tsh milioni moja kuwafikisha watu hao View attachment 1398993
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahaaa wabheja Sana home boi
Let's See what it is [emoji2936][emoji95][emoji2935]
Yani mtu anakufa huku unamuonaRaia 64 na wa Ethiopia wamekutwa wamefariki ndani ya kontena huko Tete Msumbiji.
Wengine 14 wamekutwa hai.
Uchunguzi wa awali unaonyesha kuwa watu hao walikosa hewa ya oxygen ndani ya kontena hilo la kusafifishia mizigo.
Dereva la lori hilo amesema ameahididiwa tsh milioni moja kuwafikisha watu hao View attachment 1398993
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe na nani wengineTuna andaeitini wetu watatu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu mashuhuri hawa hata kama ni wazee wakipata hii Korona wala haiwasumbui sana aisee. Kuna siri gani?
Hahah! Ila mgojwa si ndio inatakiwa aonane na daktariNaona unataka kuharibu masharti ya dawa. [emoji23][emoji23]
Tena anataka watu warudi makazini wakati wa Pasaka. Anaogopa uchumi ukivurugika anaweza asichaguliwe tena mwaka huu. Tayari kuna lawama kuwa janga la Korona hili hakulitilia maanani sana...Trump anasema US Hawawezi kujiweka karantini wataharibu uchumi wa dunia [emoji23]
coronaHivi Humu nini kinazongumziwa haswa Naona upo juu tuu kila Siku ??
Tuna andaeitini wetu watatu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watu mashuhuri hawa hata kama ni wazee wakipata hii Korona wala haiwasumbui sana aisee. Kuna siri gani?