Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hapa ni zaidi ya familia bro.
Hapa kuna CCM, chadema, CUF, ACT wazalendo nk, lakini wote tunaongea lugha moja.
Mtu akitamani kumwaga povu anachepuka kwenye jukwaa husika anamwaga povu kama lote, wakirudi hapa wanakuwa marafiki kama zamani
Sawa Sawa mkuu,
Mmekaa Kama Mnajuana vile [emoji3][emoji3]Sanaaa Faza [emoji2936] [emoji95][emoji2935]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…