Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wanaume wenye uume mkubwa duniani ni kutoka kongo ambapo wana size ya cm 18 (ukiwa umesimama) ambayo ni sawa sawa na inchi 7



Huku wanaume wenye uume mdogo zaidi duniani ni kutoka korea kusini na kaskazini ambao wana size ya cm 9.6 (ukiwa umesimama) ambayo ni sawa sawa na inchi 3.5
Size ya uume wa watanzania ni cm 15.6 (ukiwa umesimama) ambayo ni sawasawa na inches 6
Size ya kawaida ya uume duniani ni inche 5.5
NB:
cm = centimeter
 
Moulay Ismail Ibn Shariff ndie mtu mwenye watoto wengi kuliko wote duniani
Alikuwa ni mfalme wa Morocco kuanzia mwaka 1672 hadi 1727
Alizaliwa mwaka 1645 na kufa mwaja 1727
Alikuwa na watoto waliosajiliwa 867 kati ya hao watoto wa kiume 525 na watoto wa kike 342
Lakini ukijumlisha na ambao hawajasajiliwa ni 1042
Lakini baada ya kufa idadi ya watoto wake iliongezeka hadi kufika 1171
Mfalme huyu alikuwa na wanawake 500
 
Shirika la kijasusi la Marekani FBI lilitumia miaka miwili kuchunguza wimbo wa " LOUIE LOUIE"
ilikuwa mwaka 1960 's baada ya kutoka wimbo huo baadhi ya wazazi waliandika barua kwa serikali kuomba wimbo huo uangaliwe kwa sababu baadhi ya mistari kuwa na lugha ya mahaba
Baada ya barua hiyo FBI waliingia kazini kuuchunguza wimbo huo na kuja na kurasa 120 za ripoti ya uchunguzi wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…