Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

😂😂😂😂😂 inashangaza sana
 
Kale nilitembea

Sent using Jamii Forums mobile app
22 Kale nilitembea

1. Kale nilitembea
Nikilemewa dhambi
Nilikosa msaada,
kuniponya mateso.

Usifiwe Msalaba!
Lisifiwe kaburi!
Linalozidi yote,
Asifiwe Mwokozi!

2. Hata nilipofika,
Mahali pa Msalaba,
Palinifaa sana,
Sitasahau kamwe.

3. Hicho ndicho chanzo,
Cha kufurahi kwangu.
Hapo ndipo mzigo,
Uliponituliwa.

4. Panapo msalaba,
Kinatolewa cheti,
Cha kuingia Mbinguni,
Kisicho cha kanisa.

5. Yule Bwana mjinga,
Likwenda bila cheti,
Kitumai kwingia,
Kama walio nacho.

6. Lipofika langoni,
Akaulizwa cheti,
Cha kumwonyesha Bwana,
Akakutwa hanacho.

7. Lituhuzunishalo,
Ni ninyi msio nacho,
Kuwa kama mjinga,
Kwa siku ya arusi!

8. Ubavuni mwa Yesu,
Mlitokea damu,
Chemchemi ya uzima,
Itakasayo roho.

9. Jitahidi wingie,
Damuni mwa Mwokozi,
Utafutiwa dhambi,
Toka rohoni mwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…