Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mfalme suleimani story ya kwenye biblia tunayotakiwa tuamini bila ushahidi. Huyu jamaa hapo kuna mashahidi na utafiti wa uhakika
Aaaa wapi. Wakipiga DNA hapo utakuta watoto wengi siyo wake...

Mimi kila lililoandikwa katika Biblia huwa silikwesheni na wala silitafutii ushahidi [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Wandali kwenye chorus tunaimba hivi
Usifiwe msalaba(wa Yesu)
Lisifiwe kabiri(la Emmanuel)
Linalozidi yote (hallelujah)
Asifiwe mwokozi

Yule bwana mjinga
Ubeti ninaoupenda zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kifaa chake muhimu kabisa kwenye kazi zake ni simu na kazi yake nyingine kubwa ni kufuatilia yanayojiri michezoni. Muda wote macho na masikio yake huwa kwenye soka la usajili. Akishapata data anazotaka, kazi yake ni kupiga simu tu. Huyo ndio Mino Raiola.
 
Alhamisi iliyopita alinukuliwa akifichua kuwa amekuwa na uhusiano mzuri na Real Madrid katika kutekeleza majukumu yake. Pia, akafichua kuwa ana mpango wa kuwapelekea wababe hao wa Santiago Bernabeu mashine za kazi kwenye dirisha kubwa lijalo. Unafahamu ni mashine gani hizo?
 
PAUL POGBA (MAN UNITED)

Kama kuna taarifa ambayo imezungumzwa kwa muda mrefu basi ni kuhusu kiungo huyo kuachana na Manchester United. Dili lake lilisababisha kuibuka kurushiana maneno kati ya Mino na kocha wa Man United, Ole Gunnar Solskjaer.
 
PAUL POGBA (MAN UNITED)

Kama kuna taarifa ambayo imezungumzwa kwa muda mrefu basi ni kuhusu kiungo huyo kuachana na Manchester United. Dili lake lilisababisha kuibuka kurushiana maneno kati ya Mino na kocha wa Man United, Ole Gunnar Solskjaer.
 
Bado Man United imegoma kumuweka Pogba sokoni huku ikionya kwamba inaweza kusikiliza ofa kama kuna klabu itaweka mezani kuanzia Pauni 120 milioni. Lakini, taarifa mpya ni kuwa Rais wa Real Madrid, Florentino Perez yuko tayari kurudi mezani kusaka saini ya Pogba ambaye anapewa nafasi ya kwenda kuwa mrithi wa Luca Modric.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…