Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mbarikiwa Mwakipesile kautendea haki sana. Hata kama nina safari ya maili 500 nikiuweka kwenye repeat najua tu nitafika salama. Ni wimbo wenye mibaraka sana [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Amen
Nadhani hata kipindi kile uliuweka huu,ukapona hivihivi.
Nimeona ndinga yako.. imeshapona?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amen
Nadhani hata kipindi kile uliuweka huu,ukapona hivihivi.
Nimeona ndinga yako.. imeshapona?

Sent using Jamii Forums mobile app
Zamaniiii....Kama mpya tu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]

Ila nshaipiga bei nimerudi kwenye mwendokasi....

Wimbo huu una nguvu za ajabu. Siku moja nitakuja tuimbe duet
 
Zamaniiii....Kama mpya tu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]

Ila nshaipiga bei nimerudi kwenye mwendokasi....

Wimbo huu una nguvu za ajabu. Siku moja nitakuja tuimbe duet
Oh kumbe.
Unavyosema mwendokasi..mtu asiyekujua atajua Ni mwendokazi zetu hizi kweli [emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Oh kumbe.
Unavyosema mwendokasi..mtu asiyekujua atajua Ni mwendokazi zetu hizi kweli [emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo hizi hizi japo sasa zimeharibika. Yaani hatuwezi kuendesha miradi kwa weledi sijui kwa nini. Shame on them wanaondesha mradi huu ambao miaka michache tu huko nyuma wengine walikuwa wanakuja kujifunza kwetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…