myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Mkorea keshajiwahi dah [emoji16][emoji16][emoji16]
Inategemea na mudi niliyonayo siku hiyo [emoji16][emoji16]Hiyo avatar ndiyo nini sasa?
Are you capable of behaving so poorly on your happiest day evaaaaa? [emoji16][emoji16][emoji16]
Sana mkuu. Paka ni wapole na wastaarabu sana. Ila kumbuka paka hakai kwa msela. 😀😀😀Unawapenda hawa viumbe mkuu?
Hilo ndio linanitisha ndugu ndugu[emoji16][emoji16] hilo la kwanza hatufanani ila hayo mengine naona tunaanza kufananaAlikuwa mzuri wa sura. Mengine yote hayafai.
Naamini hilo la kwanza mmefanana[emoji16] [emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ndoa itakuwa ya kutii sheria bila shuruti
Kumbe mlikua mnanitete😀😀😀[emoji15][emoji15] hajabadili sana ??
Mondray, Da'Vinci, Denvers, Frankenstein. Na bado zile bandika bandua kati ya Da'Vinci na Denvers.
Haya huyo mwingine naye mara Raphael wa Ureno, Viatu vya Samaki, Mbao za Mawe, Robot la Matope, Santino na zote ni id moja.
KD usitandike kitanda utaharibu kucha.Hahah! Ona huyu mndali ilivyo chizi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nina wasiwasi jamaa amechongesha master key chumbani kwake.
muda huu ameshachomoka kitandani.
anakuchora tu na comments zako za kichochezi.
No hate no fear . tulikuwaga tunachangia ID na mkorofi mmoja sasa ameshadanja hakuna tena uhuniSio uzi wa liva tu.
Nakuona nyuzi nyingi..hata ulipokuja hapa nikaogopa hata kukuqoute[emoji85]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa boss.No hate no fear . tulikuwaga tunachangia ID na mkorofi mmoja sasa ameshadanja hakuna tena uhuni
Sent using Jamii Forums mobile app
Jiandae tu, dunia ikifunguliwa unatia timu