moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Shwari kabisa
Jambo jambo, vipi mambo yako?Jambo bro
Safi sana mkuuShwari, habari yako
Ankoo hivi ni leo au kesho [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji1][emoji3][emoji3]
Bado Anko,Nikajua umeondoka.
Nikawa nawaza yaani huyu ankoo ameamua kuondoka bila hata kupita kunipungia mkono
Sent using Jamii Forums mobile app
Umevunja rekodi mkuu. Sababu hasa ya kubadili badili hivi ni nini?Kumbe mlikua mnanitete[emoji3][emoji3][emoji3]
Umesahau Gentries the Naughty one
Hivi vimekaa Kisukuma sukuma aisee [emoji16][emoji16][emoji16]
Barakoa [emoji91][emoji91][emoji91]
Nini kinaendelea hapa Ustaadh?"Wanawake wa kichaga mungu anawaona"[emoji2089][emoji2089][emoji2089]View attachment 1399865
Alijitahid kw upand wakeMoulay Ismail Ibn Shariff ndie mtu mwenye watoto wengi kuliko wote duniani
Alikuwa ni mfalme wa Morocco kuanzia mwaka 1672 hadi 1727
Alizaliwa mwaka 1645 na kufa mwaja 1727
Alikuwa na watoto waliosajiliwa 867 kati ya hao watoto wa kiume 525 na watoto wa kike 342
Lakini ukijumlisha na ambao hawajasajiliwa ni 1042
Lakini baada ya kufa idadi ya watoto wake iliongezeka hadi kufika 1171
Mfalme huyu alikuwa na wanawake 500