Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ewaaaa ndiyo maana nikawa najiuliza mbona kama kuna moja nimeisahau ila ikawa imenitoka, nikatamani nije kukuuliza ila nikakumbuka tulikuwa tunakuteta hivyo hukutakiwa kujua. [emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]

Ila cha ajabu umejua aise mdogo wangu na we mfukunyuku, yaani sitaki kuamini kuwa hili halijakupita. [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kumbe mlikua mnanitete[emoji3][emoji3][emoji3]
Umesahau Gentries the Naughty one
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…