Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,444
- 110,233
Mambo yanizungumziayo hua hayanipiti..Ewaaaa ndiyo maana nikawa najiuliza mbona kama kuna moja nimeisahau ila ikawa imenitoka, nikatamani nije kukuuliza ila nikakumbuka tulikuwa tunakuteta hivyo hukutakiwa kujua. [emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
Ila cha ajabu umejua aise mdogo wangu na we mfukunyuku, yaani sitaki kuamini kuwa hili halijakupita. [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Ngoja nimrudishe Da'Vinci basi..
Ila ww ni sikio la kufa husikii