Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Pia kwa Upande wa Imani Tuna ambiwa Wana wa Israeli wali agizwa na M/Mungu Kupitia Kwa Musa Atengeneze Nyoka wa Dhahabu Na Kila Atakae Muangalia atapona. - Katika Ufafanuzi wa BOT wali fafanua mengi kuhusu hii nembo lakini moja kati ya Ufafanuzi Ni kwamba "Benki Kuu ya Tanzania iliweka alama hiyo katika noti ya shilingi 500 kuonesha umuhimu ambao serikali inaweka katika huduma za afya. Upatikanaji wa huduma za afya kwa wananchi, wakiwemo watoto, ni suala ambalo linapewa kipaumbele na Serikali. Hili linajidhihirisha wazi katika mgawanyo wa bajeti ya serikali ambapo sekta ya afya inapata rasimali ya kutosha". -
Enzi zile kuna manabii na mashehe walisema ni freemasonrysymbol tysitumie hizo hela..sijui sasa wameishia wapi
 
Hivi hatuwezi kutangaza sasa kuwa huku ipo tangu mwaka jana ili na sisi tupate umaarufu wa kutokufa kwa huo ugonjwa?
Tunaweza kupata fursa za kwenda kutoa huduma kwao

Sent using Jamii Forums mobile app
Tutashtakiwa,tutapewa ban za kila aina kona zote duniani. Ila ugonjwa ulianza china sema huku ndo dampo lao la bidhaa tukaubeba vizuri tu wakati huo wao wapo busy kuficha maradhi
 
I wish muda huu wa corona ningelikuwa na nafasi ya ummy mwalimu, muda wote nipo TBC

asubuhi: breakng newz: tumenunua sahani tisa za kuoshea mikono

mchana: breaking newz :corona imefika kwa wapemba

jioni:Breaking news: wasukuma wagundua dawa ya corona, ni sembeee

usiku: breaking news: dawa iliogunduliwa na wasukuma ni feki.

alfajiri: breaking news: poleni wagonjwa wote wa corona.

corona itakapomalizika unaweza kujikuta una mdomo mrefu kama dumu la petroli kwa kuongea sana.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]wewe jamaa ni shida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I wish muda huu wa corona ningelikuwa na nafasi ya ummy mwalimu, muda wote nipo TBC

asubuhi: breakng newz: tumenunua sahani tisa za kuoshea mikono

mchana: breaking newz :corona imefika kwa wapemba

jioni:Breaking news: wasukuma wagundua dawa ya corona, ni sembeee

usiku: breaking news: dawa iliogunduliwa na wasukuma ni feki.

alfajiri: breaking news: poleni wagonjwa wote wa corona.

corona itakapomalizika unaweza kujikuta una mdomo mrefu kama dumu la petroli kwa kuongea sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom