Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daah mkuu hii comment yako nayo imeingia kwenye list ya comments zilizowahi kunichekesha humu JF
I wish muda huu wa corona ningelikuwa na nafasi ya ummy mwalimu, muda wote nipo TBC

asubuhi: breakng newz: tumenunua sahani tisa za kuoshea mikono

mchana: breaking newz :corona imefika kwa wapemba

jioni:Breaking news: wasukuma wagundua dawa ya corona, ni sembeee

usiku: breaking news: dawa iliogunduliwa na wasukuma ni feki.

alfajiri: breaking news: poleni wagonjwa wote wa corona.

corona itakapomalizika unaweza kujikuta una mdomo mrefu kama dumu la petroli kwa kuongea sana.
 
Endiwo ni JNIA, Julius Nyerere International Airport, ila hata ukienda Kenya siyo mbaya maana wenzetu tayari wana ndege zao Kenya Airways zinazoenda moja kwa moja hadi USA na ni masaa 15 tu (teh teh sawa na safari ya Dar to Mbeya kwa basi), tofauti na sisi ambao hadi tuunganishe flights.
JNIA sio JKIA.[emoji85]
Kenya niende kufanya Nini na Corona imesambaa kuliko kwetu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mie nalipenda Denvers toto, sijui kama ulimaanisha Denver capital ya Colorado state US.

Mimi ni sikio la kufa kivipi tena
Actually wakati nachagua hili jina nilitaka kuweka jina la Captain Marvel..Carol Danvers. Basi wakati naandika nikawa naliwazia jina la Denvers capital iliyotumika kwenye series ya Money Heist. So kiuhalisia ni Danvers jina la kiume sio Denvers state ya corolado.
 
FB_IMG_1585227321162.jpeg
 
Hizo dalili mkuu mi nilikutana nazo february 2019.
Mafua makali, kikohozi kikavu, homa kali.
Sikujua nilichokuwa naumwa.
Vipimo vya hospitali havikuwa na majibu, nilipona kwa panadol"
Hivi hatuwezi kutangaza sasa kuwa huku ipo tangu mwaka jana ili na sisi tupate umaarufu wa kutokufa kwa huo ugonjwa?
Tunaweza kupata fursa za kwenda kutoa huduma kwao
 
Back
Top Bottom