Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hizo dalili mkuu mi nilikutana nazo february 2019.
Mafua makali, kikohozi kikavu, homa kali.
Sikujua nilichokuwa naumwa.
Vipimo vya hospitali vilikuwa "error"
Ndio maana nilitaka tuumiliki maana hata nyumbani kwangu ulipita Novemba, ikawa ni mwendo wa tangawizi na mchai chai. Kwa mimi na shemeji yako kvant ilituponya maana tulichukulia ni mafua ya kawaida.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1585235947262.png
 
Hapa ni makaburi ya Mwinyimkuu Magomeni mapipa jijini Dsm
Mahali tulipompumzisha mwenzetu.
Mwanachama mwandamizi wa Simba sport club, Asha Muhaji, ambaye aliwahi kuwa msemaji wa klabu hiyo
wewe ndiye huyo aliyevaa kanzu yenye rangi blue, aliyejaaliwa tumbo kubwa kama beseni la kufungulia nguo?

ila marehemu alikuwa ameshiba, mashaallah.
kiuno kama gari la mkaa
 
wewe ndiye huyo aliyevaa kanzu yenye rangi blue, aliyejaaliwa tumbo kubwa kama beseni la kufungulia nguo?

ila marehemu alikuwa ameshiba, mashaallah.
kiuno kama gari la mkaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom