Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kwa mwanasiasa; hapa amejitahidi sana. Kasema ukweli [emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547]
Kwa mwanasiasa; hapa amejitahidi sana. Kasema ukweli [emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547]
Kama ni mtihani nimeshafeli maana sizikumbuki
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Wasukuma hata sijui wanakwama wapi dadeki [emoji85][emoji85][emoji85]
View attachment 1400160
Ninako haka, kila nikitaka kukapost nahisi Jesuu ananipiga jicho la kunionya....
Pata ile kitu roho inapenda shemeji. Maisha menyewe haya mafupi sana [emoji16][emoji16][emoji16]Ninako haka, kila nikitaka kukapost nahisi Jesuu ananipiga jicho la kunionya....View attachment 1400172
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila kweli, haya mambo ya kujinyima nyima haya... Ukute hutu tupicha ndio kibali cha kuuona ufalme wa mbinguni [emoji1][emoji1][emoji1]Pata ile kitu roho inapenda shemeji. Maisha menyewe haya mafupi sana [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1400178
Nilikuwa leo ankoo umenichomesha mahindiAnkoo hivi ni leo au kesho [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji1][emoji3][emoji3]
Mungu ni mwema Ankoo, kwema?
Sent using Jamii Forums mobile app
Dahh!!Nilikuwa leo ankoo umenichomesha mahindi
Sawa ankoo nimekusamehe, nitasubiria kwa hamu makatapera yanguDahh!!
Anko nisamehe bure, itabidi nijitandike vibao mwenyewe[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Acha niongee na Stella kama atanitangulia nimtwishe mzigo. Au la next week nitakuwa huko. Naacha utani kwenye vitu vya msingi Anko.
Nisamehe mama [emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app