Drizzle
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 4,857
- 14,748
Nashukuru sana mkuu. Tunaendelea kupambana na hii lockdown.Njema mkuu, hali yako
Nashukuru sana mkuu. Tunaendelea kupambana na hii lockdown.Njema mkuu, hali yako
Mkuu nimeamka na hapa nipo nachapa mzigo kwa ofisi ya home.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
[emoji125][emoji125]kwa mbaaali namuona Stella anatunukiwa tikiti ya kupanda mwewe wa mabeberu... Kweli ongea vizuri na watu upate vituMkuu nimeamka na hapa nipo nachapa mzigo kwa ofisi ya home.
Vp kwa upande wako, Je uko poa?
Ahsante sana ankoo[emoji120][emoji120][emoji120] ila siku ya kuja uniambie peke yangu hawa ma anko zako wasije wakaniwahi[emoji16][emoji16][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Imewahi kunitokea nilimuahidi mtoto wangu zawadi ili anipe ruhusa ya kuondoka home. Zawadi yenyewe sasa...
Ile nimerudi jioni dogo akavamia geti na kicheko juu, pasi mimi kujua kumbe ni kicheko cha zawadi... Nilijuta.
Nikaanza safari upya Isyesye to Uhindini huku nimenuna yeye kakaa pembeni.
Naamini nitapambana hadi nifanikishe Anko, nitayaacha Mbezi stand nawe utayafuata hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Ahsante sana ankoo[emoji120][emoji120][emoji120] ila siku ya kuja uniambie peke yangu hawa ma anko zako wasije wakaniwahi[emoji16][emoji16]
Tena na mimi ningenuna balaa sema mnuno wa kwenye maandishi hata haunogi
Sent using Jamii Forums mobile app
Makatapera ni mapera uko kwenu?
Nivunjike Mara ngapi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] siyo siri anne una hati hati ya kuvunjika mbavu siku si nyingi yaani
Shukrani [emoji120][emoji120][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Tuombe uzima mama. Nimekulia kijijini napenda sana vitu nilivyo kuwa nakula ujanani mwangu. Nimekuelewa Anko [emoji120]
Nikishindwa kabisa nitakupa namba ya kondakta wa bus fulani ndo atakuletea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tulia we wa kishua huwezi kuyajuaMakatapera ni mapera uko kwenu?
Sawa
Jili zoezi lazima liwe gumu. Nakumbuka jana nimepanda uber dereva kavaa mask, nikashtuka lakini nikasema sio kesi. Sasa nimefika kumbe nimetoa ile option ya kulipa kwa kadi, ikabidi nimpe cash, sasa kwenye kurudisha change kidogo niikate maana nimejiuliza haina virusi hivi. Nikaitia mfukoni, sikuchanganya na nyingine. Nikaja kukumbuka hapa maambukizi siyakwepi hata nikinawa mikono. Kumbuka hapo nimeshika simu, waleti, funguo za mlango, nk. Ila nikakumbuka kunawa mikono tu. huu ugonjwa ni wetu tu.
[emoji16][emoji16][emoji16] umeenda kugugoView attachment 1400217
[emoji3][emoji3] Kumbe ni maparachichi
😀 😀 😀 😀[emoji125][emoji125]kwa mbaaali namuona Stella anatunukiwa tikiti ya kupanda mwewe wa mabeberu... Kweli ongea vizuri na watu upate vitu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio mwakaleli
Bibi upo?