Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji125][emoji125]kwa mbaaali namuona Stella anatunukiwa tikiti ya kupanda mwewe wa mabeberu... Kweli ongea vizuri na watu upate vitu

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi huyoooo kwa Trump masafa marefu[emoji1787][emoji928][emoji3575]
Ongeeni na watu jamani[emoji23]
Mwenzenu naenda kusafisha nyota hivihivi naona, sijawahi kupanda ndege.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dahh!!
Anko nisamehe bure, itabidi nijitandike vibao mwenyewe[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Acha niongee na Stella kama atanitangulia nimtwishe mzigo. Au la next week nitakuwa huko. Naacha utani kwenye vitu vya msingi Anko.
Nisamehe mama [emoji120]


Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi Ni kwamba kweli huji kunisalimia hapa mabatini ankoo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom