Halafu nina wazo tofauti kuhusu huyo 'demu'. Hisia zangu zinaniambia hata sio ke, kama ni ke ni memba wa zamani mwongo mwongo ambae ameamua tu kutafuta attention. Hebu angalia jina analotumia, amejiunga December 31 na mpaka sasa ameshaanzusha nyuzi karibia kumi, hiyo 'mimba' imeshafunguliwa thread kama mbili (who does that especially kwenye hizi jamii zetu za kiafrika???) Leo kaja na hili la baby daddy na kudai yuko heartbroken, kesho atasema stress zimesababisha apate miscarriage, mpaka hapo keshafanikiwa kuwateka.
Ni mtazamo wangu tu naweza kuwa sahihi au sio sahihi.
Sent using
Jamii Forums mobile app