Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tafiti: Tabasamu' huambukiza. Mtu anapotabasamu huweza kuwafanya watu wengine pia wakatabasamu sababu tunapenda kufanya hivyo ili kupata hisia sawa kama anayopata mtu ambae anatabasamu mara kwa mara.

Chanzo: Science Daily.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…