Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hatimaye Tshitshimbi apewa alichotaka na kumalizana na wanajangwani.
Miaka miwili zaidi ndani ya uzi wa kijani
FB_IMG_1585293637219.jpeg
 
Sidhani kama mpaka wakati huo kutakuwa na kiumbe hai duniani
Kwa kila miaka Bilioni inayopita Jua nguvu yake huongezeka zaidi, Baada ya miaka Bilioni 3.5 itayokuja kuanzia sasa Jua nguvu yake itaongezeka kwa 40%. Hali hiyo itapelekea athari nyingi kama Bahari kuchemka , Barafu zote zitayeyuka na unyevu nyevu kwenye anga la hewa utaondoka.
 
Back
Top Bottom