Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Tafuta maarifa, usitafute vyeti.
AiseeFast And Furious 09 imesogezwa mbele, Itaachiwa rasmi katika maeneo mengi Duniani mwezi April, 2021.
Huyo huyo.[emoji16][emoji16][emoji16] kuchomeshwa mahindi na ankoo? Tumeshasameheana bwana
Sent using Jamii Forums mobile app
Salama lakini huko bro?Baharia kalikoroga dah !!!
Siyo poa kabisa aisee....
Aisee, sikuwa nimepitia mafile yake.Halafu nina wazo tofauti kuhusu huyo 'demu'. Hisia zangu zinaniambia hata sio ke, kama ni ke ni memba wa zamani mwongo mwongo ambae ameamua tu kutafuta attention. Hebu angalia jina analotumia, amejiunga December 31 na mpaka sasa ameshaanzusha nyuzi karibia kumi, hiyo 'mimba' imeshafunguliwa thread kama mbili (who does that especially kwenye hizi jamii zetu za kiafrika???) Leo kaja na hili la baby daddy na kudai yuko heartbroken, kesho atasema stress zimesababisha apate miscarriage, mpaka hapo keshafanikiwa kuwateka.
Ni mtazamo wangu tu naweza kuwa sahihi au sio sahihi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuko salama kabisa, habari ya weweHuyo huyo.
Natumai kumekucha salama.