Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mwenyezi Mungu tujaalie weekend hii kila mmoja wetu hapa abambe mkwanja mrefu.
Amin
FB_IMG_1585042119693.jpeg
 
Kimenuka Marekani.
Baada ya dhihaka nyingi dhidi ya mataifa mengine hatimaye kibao kimegeuka.
Mkuu SHIMBA YA BUYENZE na jirani yangu Yegomasika Nawatakini heri huko mliko.
Mwenyezi Mungu ukupeni ulinzi wake kwenye mashaka haya.
Amin
Screenshot_20200327-125626_Facebook.jpeg
 
Back
Top Bottom