Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Capitalpool is back
Unasemaje wewe?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sifa moja ya vijana ambao hawajavuka miaka 19 huwa wanagombea ukubwa.
Sawa vijana wangu endeleeni hivyo, naamini mkikua mtaacha hiyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukipata usinisahau hata nyekundu moja tuMwenyezi Mungu tujaalie weekend hii kila mmoja wetu hapa abambe mkwanja mrefu.
AminView attachment 1400791
Yaani kwamba alizimia miezi 33?Mwenyezi Mungu akujaalie afya njema kijana[emoji120][emoji120]View attachment 1400812
😃😃Capitalpool is back
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Niaje, huyu mtoto kafanya natizama isidingo siku hizi,