Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hiyo coment kuna mdau aliiweka nikacheka sana kwenye uzi flani
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi huwa naangalia kweli.
Jana mhe alikuwa anaiongelea ikulu ya chamwino dodoma.
Akasema nchi nyingi tu walitaka kutujengea ikulu lakini kujengewa ikulu Ni sawa na kujengewa chumba chako Cha kulala.
Tumejenga wenyewe,ikulu kubwa akataja ukubwa bahati mbaya nishasahau

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasemea ile comment yangu kuhusu corona
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…