Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Bro, kwema?
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahah huu ni mwanzo tu ankoo, atarudia yale mambo yak..capitalpool karudi mpole dizaini ya wale watekwaji. Je, hii ni ishara ya kwamba hata BAK atarudi kwa style ya huyu kijana?
Mungu azidi kutenda maana muhimu ni uwepo wao hapa.
ankoo kwema kijana wangu [emoji137][emoji137]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]dahok, basi acha niweke list ya watu umri mkubwa humu ndani
mwenye maswali aende mamlaka ya utoaji vyeti vya kuzaliwa au NIDA
- babu andjul = miaka 55
- moudgulf = miaka 43
- saint anne = miaka 37
- myoyambendi = miaka 34
- shimba ya buyenze = miaka 33
- daemusin = miaka 31
- khantwe = miaka 27
- numbisa = miaka 26
- capital pool, mkokaa = miaka 25
- depal, ningendako = miaka 23
- davet, the happiness = miaka 21
Kweli? mabaharia walio jirani watakuwa wazembe sana[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Konokono anaweza kulala kwa miaka mitatu mfululizo.
na wewe nimekupunguzia umri wako?[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]dah
Upo vizuri mhengaNilijua utaandika ule wa
Shhhh taratibu cheza kimyakimya
Mbona unaharibu cheza kimya kimya
Kama Kuna demu umemzimia
Basi mfwate kimya kimya hii Ni party ya kimyakimya kila kitu kimyakimya.
Jmoo
Marehemu Albert mangwea
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijapata shida kumuwazia konokono nimjuae, lawama ziende kwa mabaharia walio jirani kwa uzembeKonokono yupi anayezungumziwa? [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Hapana mkuu, umeniongezeana wewe nimekupunguzia umri wako?
Hali ni mbaya wallah