moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Huku salama bro, hali ya hewa vipi huko?
Sijajua Ni lini[emoji23][emoji23][emoji23] Bongo star search ni lini?
Mungu wangu.Mwanaume wa shokaView attachment 1401642
Kwetu Ni njema Mtoto wa Allah
Mungu wangu.
Naweza kufa najiona.
Acha tu mzee, ibra alikuwa na flow kali, slengi za kinyamwezi,kunata na beat ndio ilikuwa mahali pake..kipindi kile G Nako wa kawaida tu ha ha ha.. Isikilize Ndio Zetu ile OG kabsa, au Mchiz wangu OG...binasf muunganiko wa n2n na river camp=weusi nauchukia..umeipa faida river camp na kuiua n2n..Hahah! Jamaa alikua mnyamwezi sana, kuna ngoma ya Vatoroco soldiers(Fido vato + Geez mabovu) inaitwa "sisi hapa" jamaa alikanyagia fresh sana mule ndani
Hilo ni tatzo pia bro,, mikopo pia imekuwa na mwisho mbaya kwa watumishi wa umma na hata kwenye makampun binafsi..Ikiwa maisha ya mtumishi serikali mwenye mshahara ni magumu kiasi hicho hali ikoje kwa machinga wa mtaa wa Congo.
Watumishi wa serikali waache tabia ya kudeka kama mtoto wa mwisho
Ha ha ha kituko tena,, kwa hii mistari unayoshusha hapa, lazima uwe mshindiSijajua Ni lini
Miaka hii sifuatilii..
Nilifwatilia miaka Hiyo ya kina misoji,Pascal casian,msechu sijui baby madaha..kidogo ilikuwa inanivutia
Vipi Wataka kunipeleka BSS nikawe kituko huko?
Sent using Jamii Forums mobile app
Owk bro.. Tuwe na weekend njemaHuku bado joto ingawa kuna mvua za hapa na pale