Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

464017317_613240.jpg
 
Umenena mkuu.
Pumbavu sana, yani watu wanataka wajengewe shule, kanisa, msikiti na watoto pia wanunuliwe uniform nk.
Kila siku tunatangaza njaa, njaa, njaa.
Tuna ardhi nzuri ambayo tunaweza kuitumia kuzalisha na kuficha aibu zetu, lakini wapi bhana.
Majitu yanaona ufahari kutangaza aibu zetu za ndani.
Ovyo sana
Marekani kama hii ya maelfu ya watu kupanga foleni ili kupatiwa chakula cha bure huwezi kuisikia. Jamaa wanalinda image yao (ya taifa tajiri, lenye nguvu na lisilo na shida) kwa gharama zote. Na vyombo vyao vya habari vinalijua hili. America - land of the free, home of the brave....

Kuna kipindi mama alikuja kutembea huku tukaenda New York na Los Angeles. Alishangaa sana kuona mamia ya wazungu masikini wanaolala mabarabarani. "Kumbe na wazungu masikini wapo?" Aliniuliza kwa mshangao....Maisha....

Na mojawapo ya shida kubwa ya Waafrika ni kujidharau. Kutokuwa na image/brand yetu wenyewe....

[emoji3591][emoji3591][emoji3591] Udhaifu wako ni siri yako (na Mungu wako). Siyo kila mtu lazima aujue kwa sababu wengine wakiujua watautumia kukukunguwaza. Protect your image/brand...

View attachment 1400961
 
Umenena mkuu.
Pumbavu sana, yani watu wanataka wajengewe shule, kanisa, msikiti na watoto pia wanunuliwe uniform nk.
Kila siku tunatangaza njaa, njaa, njaa.
Tuna ardhi nzuri ambayo tunaweza kuitumia kuzalisha na kuficha aibu zetu, lakini wapi bhana.
Majitu yanaona ufahari kutangaza aibu zetu za ndani.
Ovyo sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeongea kwa hisia sana kamanda [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Back
Top Bottom