Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Acha tabia ya kupunguza umri wa watu bwa mdogo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umepunguza umri wa SYB kisha namba zake ukamjazia Andjul.
Umenipunguzia namba zangu ukajiwekea kwako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ok, basi acha niweke list ya watu umri mkubwa humu ndani
  1. babu andjul = miaka 55
  2. moudgulf = miaka 43
  3. saint anne = miaka 37
  4. myoyambendi = miaka 34
  5. shimba ya buyenze = miaka 33
  6. daemusin = miaka 31
  7. khantwe = miaka 27
  8. numbisa = miaka 26
  9. capital pool, mkokaa = miaka 25
  10. depal, ningendako = miaka 23
  11. davet, the happiness = miaka 21
mwenye maswali aende mamlaka ya utoaji vyeti vya kuzaliwa au NIDA
 
400016600204_8398.jpg
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Acha tabia ya kupunguza umri wa watu bwa mdogo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umepunguza umri wa SYB kisha namba zake ukamjazia Andjul.
Umenipunguzia namba zangu ukajiwekea kwako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Sent using Jamii Forums mobile app
Hana lolote huyo gheresha tupu...[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mungu Atusimamie. Nimeona watu bado wanagombania daladala kama kawa. Bila Mungu kutusimamia hali inaweza kuwa tete....

Na nimeona mahala wanasema inawezekana Waafrika tuna kinga na huyu kirusi kwa sababu hafurukuti sana. Hata waliompata wengi wao wanapona na dalili zao ni za kawaida tu. Uangalifu bado ni kwa wazee na wale wenye matatizo mengine ya kiafya...

Tukiendelea kufuata masharti ya wataalamu inawezekana kikombe hiki kikatupita [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Back
Top Bottom